WAZIRI ANGELLAH KAIRUKI AFUNGUA MKUTANO WA KAZI WA MFUKO WA TASAF MKOANI ARUSHA.
Wakuu wa wilaya kutoka mikoa mitano ya Singida ,Manyara,Arusha,Kilimanjaro na Tanga wakiwa kwenye mkutano wa Kazi wa kupata uelewa zaidi wa mfuko wa Tasaf. |
Wakuu wa mikoa Mhandisi Mathew Mtigumwe wa Singida,Dk Joel Bendera wa Manyara(katikati) na Martine Shighela wa Tanga. |
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Tasaf ,Ladislaus Mwamanga akizungumza katika mkutano huo. |
Mkuu wa wilaya ya Monduli mkoa wa Arusha akizungumza jambo katika mkutano huo. |
Mkuu wa wilaya ya Handeni mkoa wa Tanga,Godwini Gondwe akizungumza katika mkutano huo. |
Mkuu wa wilaya ya Moshi mkoa wa Kilimanjaro,Kippi Warioba akizungumza katika mkutano huo. |
No comments:
Post a Comment