DIAMOND Platnumz Awashangaza Mashabiki Wake Tena Kwa Kuimba "Remix ya All The Way Up" Posted by: jungukuuleo Date: 9:29:00 PM WASANII MATANGAZO MATANGAZO Diamond Platnumz amejiongezea aka zingine mpya, Jini na Vampire. Jumatatu hii aliachia kipande cha verse kwenye hit single ya Remy Ma na Fat Joe ‘All The Way Up’ kilichoyakuna masikio ya mashabiki wake. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus
No comments:
Post a Comment