Hali ya Soko la Filamu za Bongo ni Tete..

MATANGAZO

MATANGAZO
Hali ya soko la filamu za Bongo ni tete, na hakuna mwenye uthubutu wa kutamba tena hadharani kuwa eti sinema za kibongo zinalipa. Je, nani wa kuiokoa Bongo Muvi? 

Tutajie muigizaji mmoja tu anayekukosha Bongo