Hii Hapa Video Mpya ya Mama Ushauri Kutoka Tinde,inaitwa Dunia...Ni Kali Balaa,Wanenguaji kama hawana Viuno

MATANGAZO

MATANGAZO

Ninayo hapa Video ya Mwanamama Machachali anaiyeimba kwa Lugha ya Kisukuma,Mama Ushauri Kutoka Tinde Shinyanga,wimbo unaitwa "Dunia"..Ni video Kali ,wanenguaji wake balaa mtupu viuno kama havina mfupa



Tazama hapa chini