Moshi Mweupe Waanza Kuonekana CUF, Haya Hapa Majina Matatu Yaliyopitishwa Nafasi ya Uenyekiti Posted by: jungukuuleo Date: 7:04:00 AM SIASA MATANGAZO MATANGAZO Baraza Kuu la CUF limepitisha majina 3 yatakayopigiwa kura kujaza nafasi ya Uenyekiti, iliyoachwa wazi na Prof. Lipumba mwaka jana.Majina hayo ni Twaha Taslima, Riziki Shahari Mngwali na Juma Nkumbi. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus
No comments:
Post a Comment