JK, Samia, Nape Washiriki Mazishi ya Bi. Shakila

MATANGAZO

MATANGAZO
3-15Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo cha Bi. Shakila Said, huko nyumbani kwake Mbagala Charambe, jijini Dar, wa pili kushoto akishuhudia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye.