Mtumiaji wa Facebook Mwenye Umri Mkubwa Kuliko Wote Duniani

MATANGAZO

MATANGAZO


Ms Maria Seguar Metzgar mwenye umri wa miaka 105 inasemekana ndiye mtumiaji wa facebook mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani
Ms Maria alisherehekea miaka 105 wiki moja iliyopita huku akiwa na marafiki 86 kutoka facebook