Ni time ya kuenjoy hii video mpya ya Meneja Maneno akiwa na Madee
Ni Meneja Maneno ambae time hii anazigusa headlines za Bongo Fleva baada ya kuachia video mpya ya single yake iitwayo Wanatamani ambayo amemshirikisha Madee.
Video hiyo mpya imetayarishwa na director Ivan location ni Dar es Salaam, ukishamaliza kuitazama hii video sio mbaya ukituachia na comment yako wakali hawa watapita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.
No comments:
Post a Comment