Video: Mbatia aizungumzia kauli ya Spika kuhusu maridhiano baina ya UKAWA na naibu Spika

MATANGAZO

MATANGAZO
Jana August 21 2016 kupitia kipindi cha funguka kinachorushwa na kituo cha television cha Azam Tv, mbunge wa Vunjo na mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia aliizungumzia kauli iliyotolewa na Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano kuwa anakusudia kutafuta maridhiano baina ya wabunge wanaounda umoja wa katiba, UKAWA na naibu Spika.
Mbatia alisema, Kauli ya Spika Ndugai ni kauli yenye kuleta matumaini kwa sababu wao ndani ya wabunge wa upinzani walichokuwa wanataka ni  maridhiano....
Msikilize hapo chini akiongea