PICHA 5: Muonekano wa juu wa jiji la Dar es Salaam wakati wa mchana
Najua na watu wangu wa nguvu ambao wapo mbali na Tanzania au nje ya Dar es Salaam kwa muda mrefu, lakini hilo haliwekuwa tatizo la kukufanya ukakosa kujua habari za Dar es Salaam, mtu wangu wa
nguvu naomba nikusogezee picha 5 za muonekano wa juu wa sehemu za katikati ya jiji la Dar es Salaam na muonekano wa majengo yake.
No comments:
Post a Comment