Tumuige Maalim Seif ama Lowassa?

MATANGAZO

MATANGAZO


Maalim Seif Akikataa kusalimiana na Shain
Kufuatia kitendo cha maalim Seif kugoma kumpa Shain mkono kuna kamtindo kalianzishwa kakupiga picha za kuigiza tukio hilo huku ikishabikiwa kuwa ni kitendo cha kishujaa.
Lowassa akisalimiana na Kinana