Rais Magufuli Awasili Pemba Kwa Ziara Ya Kikazi Ya Siku Mbili
Rais Magufuli akiwa ameambatana na mkewe mama Janeth,wakisalimiana na wenyeji wao mara baada ya kuwasili Pemba mapema leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili visiwani humo,ambapo hapo baadae ataelekea Unguja kuendelea na ziara yake ya kikazi .
Rais Magufuli akitazama kikundi cha ngoma baada ya kutua Pemba ambapo pia ameenda kuzulu kaburi la aliyekuwa Makamu wa Rais, Dk Omary Ali Juma. Baadaye saa tisa alasiri atafanya mkutano wa hadhara katika uwanja wa Gombani ya Kale, Pemba. Picha na Ikulu
No comments:
Post a Comment