WAZIRI MKUU MAJALIWA AMTEMBELEA JAJI WARIOBA, PIA AWAJULIA HALI SPIKA WA BUNGE, MH. JOB NDUGAI NA NA MZEE MALECELA

MATANGAZO

MATANGAZO
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba wakati alipomtembelea nyumbani kwake, Oysterbay jijini Dar es salaam Agosti 19, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kulia) wakizungumza na Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) na kewe Fatma Mganga Ndugai wakati wakati walipokwenda nyumbani kwa Spika Salasala jijini Dar es salaam Agosti 19, 2016 kumjulia hali.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Spika wa Bunge Job Ndugai wakati alipokwenda nyumbani kwake, Salasala jijini Dar es salaam Agosti 19, 2016 kumjulia hali.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kulia) wakiagana na Spika wa Bunge Job Ndugai (kulia) na mkewe Fatma Mganga Ndugai (wapili kushoto) wakati walipokwenda nyumbani kwa Spika, Salasala jijini Dar es salaam Agosti 19, 2016 kumjulia hali.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela wakati alipomjulia hali jijini Dar es salaam Agosti 19, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela wakati alipomjulia halijijini Dar es salaam Agosti 19, 2016.